Katika kuhakikisha kuwa soko la kisasa la chuno linakuwa salama pindi itakapotokea dharura ya majanga ya moto sokoni hapo, Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoani Mtwara Julai 11 limefanya ukaguzi wa miundombinu ya kuzimamoto katika soko hilo.
Zoezi hilo limeendeshwa na Kamanda wa Jeshi la zimamoto Mkoani Mtwara Mrakibu Msaidizi Daniel I. Myalla aliyeambatana na Maafisa na skari wa jeshi hilo.
Lengo la kufanya ukaguzi ni kuhakiisha soko la chuno linakuwa na miundombinu salana ya kuzima moto endapo itatokea dharura ya moto.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.