Kamati ya Mipangomiji Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani leo tarehe 17/12/2024 imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya Mipangomiji iliyopo mtaa wa Rahaleo juu, Kata ya Rahaleo.
Ikiongozwa na Diwani wa kata ya Naliendele, Mhe. Masoud Dali kamati hiyo imeagiza kuwa hadi kufikia January 27, 2025 ofisi hiyo ianze kutumika rasmi ikiwa ujenzi wake tayari umeshafikia zaidi ya 90%.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.