Kamati ya huduma ya mikopo Ngazi ya Kata inayowahusisha Maafisa Watendaji wa Kata na Mitaa, Maafisa Ustawi pamoja na Maafisa Elimu wa Kata ya Manispaa ya Mtwara-mikindani wakila kiapo cha kuepuka mgongano wa kimaslahi kwenye zoezi la Utoaji wa mikopo ya asilimia kumi inayotarajiwa kutolewa Mwezi Oktoba mwaka huu kwa vikundi vya wananwake , Vijana na Watu Wenye Ulemav
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.