Kamati ya Mipangomiji ,Manispaa ya Mtwara-Mikindani Leo tarehe 27 februari 2025 imefanya ziara ya kukagua maeneo yanayopendekezwa kujengwa Shule mpya ya Sekondari ya Ufukoni.
Mwenyekiti wa Kmaati hiyo, Diwani wa Kata ya Naliendele Mhe.Masudi Dali amesem aujenzi wa shule hiyo ya sekondari utasaidia kupunguza changamoto ya msongamano katika Shule ya Sekondari ya Sino.
Maendeo yaliyopendekezwa na kutembelewa ni pamoja na eneo lililopo Ufukoni stendi lenye ukubwa wa mita za mraba 9426.
Maeneo mengine ni pamoja na eneo la Mbae Lenye ukubwa wa mita za mraba 8000 pamoja na eneo lililopo Mbae Chundi.
Maeneo mengine yaliyotembelewa ni apamoja na
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.