Juni 16,2022 Kmati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mtwara ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mhe. Dunstan Kyobya, Madiwani wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa Bi. Shadida Ndile pamoja na timu ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Manispaa wametembelea soko la Magomeni B ambalo kwa sasa linajulikana kama soko bati ili kujionea shughuli za soko zinavyendeshwa katika eneo hilo.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.