Maafisa Waandikishaji ngazi ya Jimbo na Kata , Mnaispaa ya Mtwara-mikindani Leo Jnauri 22,2025 wameendelea na mafunzo lwa vitendo kuhusu mfumo wa Uandikishjai na matumizi ya BVR KIT.
Mafunzo hayo pia yanahusisha namna bora ya ujazaji wa fomu, kw akutumia mfumo w auandikishaji wapiga kura pamoja n amaumizi sahihi ya viaa vya Uandikishjai wa Wapiga Kura
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.