Kuelekea zoezi la Uboreshaji wa daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajia kuanza Januari 28,2025, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi 18 wa ngazi ya Jimbo la Mtwara Mjini wamekula kiapo Cha kutunza siri na tamko la kujitoa uanachama ili waweze kufanya kazi ya Uandikishaji kwa weledi.
Zoezi la Uapisho limefanywa na Mhe.Alex Robert , Hakimu Mkazi wa Mahakama ya mwanzo Mtwara Mjini Katika Ukumbi wa Chuo Cha Ualimu Kawaida (TTC) Leo Januari 21,2025.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.