Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika, Waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani pamoja na wataalamu wameungana na wananchi wa Manispaa ya Lindi kufanya Mbio za polepole "Jogging" ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho hayo Leo Desemba 7,2024
Waheshimiwa Madiwani wametembelea Manispaa ya Lindi kufanya bonanza la michezo na kujenga urafiki baina ya Halmashauri hizi mbili.
Bonanza la Michezo litafanyika Leo asubuhi katika Viwanja vya Ilulu ambapo waheshimiwa Madiwani watacheza Mpira wa Miguu na Mpira
Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru mwaka huu ni "Uongozi madhubuti na Ushirikishwaji wa Wananchi ni Msingi wa Maendeleo Yetu"
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.