Baada ya mradi wa uendelezaji Mjiji Mkakakti (TSCP) kumaliza muda wake januari mwaka huu, Baraza la Madiwani la Manispaa ya Mtwara-Mikindani leo April 2021 limepitisha mapendekezo ya miradi minane mipya ya iimkakati inayotarajiwa kutekelezwa kupitia mradi mpya wa mpango wa kuimarisha miundombinu (TACTIC)unaotarajia kuanza hivi karibuni chini ya ufadhili wa benki ya Dunia.
Akizungumza mara baada ya mapendekezo ya miradi hiyo kupitishwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Bi. Shadida Ndile amewataka madiwani kupokea na kubariki miradi hyo na kuwa wasimamizi wazuri pindi fedha za utekelezaji wa miradi zitakapofika .
Nae Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dunstan Kyobya ametoa hamasa kwa viongozi hao kuhakikisha wanaisimamia miradi hiyo itakapoanza kuetekelezwa.
Miradi iliyopendekezwa ni Pamoja na
IKumbukwe kuwa Kabla ya Mradi wa TACTIC kuanza Mnaispaa ya Mtwara-Mikindani ilikuwa inatekeleza mradi wa uendelezaji Miji Mkakati (TSCP) ulioana kuteklezwa kuanzia mwaka 2010 hadi 2020 kwa kutekelza miradi ya barabara za Zambia ,chuno, boma, Senegal, Bandari, ujenzi wa soko lakisasa la chuno, bustani za kupumzikia , dampo la kisasa Mnagamba kw agharama ya Bilioni.
Baada ya baraza kupitisha mapendekezo hayo yanapelekwa tamisemi Mkurugenzi ataipelekea miradi hiyo kwa wahusika ili kujua kwa hatua
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.