Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Biometriki ngazi ya kata, wakipatiwa Mafunzo kwa vitendo kutumia mitambo ya Bayometriki (BVR KIT) tayari kwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu wapiga kura awamu ya pili yaliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha STEMMUCO PARISH, leo tarehe 14 Mei, 2025.
Zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu wapiga kura awamu ya pili litaanza rasmi tarehe 16 Mei, 2025 hadi tarehe 22 Mei, 2025.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.