Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imeshika nafasi ya tatu kwa upande wa Mamlaka za Serikali za mitaa kwenye maonesho ya nane Kanda ya Kusini kati ya halamshauri 15 za Mkoa wa Mtwara na Lindi zilizoshiriki kwenye maonesho hayo yaliyofanyika katika Viwanja vya Maonesho ya wakulima Ngongo vilivyopo Mkoa wa Lindi.
Maonesho ya nanenane yalianza Agosti 1na kumalizika Agosti 8 yakiwa na Kauli Mbiu inayosema "Vijana na Wananwake ni Msingi imara wa mfumo endelevu wa Chakula"
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.