Manispaa ya Mtwara-Mikindani tunamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha Tsh. 440,000,000 za Mpango wa Maendeleo kwa ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ishirini na mbili ya madarasa Shule ya Sekondari ya Bandari.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.