Kuelekea zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura, Leo Januari 24,2025 Mawakala wa Vyama vya siasa Jimbo la Mtwara Mjini wamekulakiapo Cha kutunza siri wakati wa Utekelezaji wa majukumu yao kama Mawakala katika zoezi hilo litakaloanza Januari 28,2025 na kumalizika Februari 3,2025.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.