Kutokana na uwepo wa uhaba wa walimu katika Shule ya Msingi ya Lwelu, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Mhe.Ndile Shadida Ndile amemuagiza Mkurugenzi kupeleka walimu shuleni hapo ili wanafunzi wapate Elimu.
Aidha ameagiza kuanza Kwa ujenzi wa Matundu ya vyoo katika Shule ya Msingi ya Mitengo ili wanafunzi na walimu wapate huduma hiyo Kwa uharaka.
Mstahiki Meya ametoa maagizo hayo Leo Januari 30,25 kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani robo ya pili Kwa ajili ya Kupitia na kujadili taarifa za shughuli zinazotekelezwa kwenye Kata .
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.