• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

,Meya Ndile awataka wazazi wanaotalikiana kuwajibika kwenye malezi ya watoto

Posted on: August 19th, 2021

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara - Mikindani Mhe. Shadida Ndile amezitaka Mamlaka zinazosimamia mchakato wa utoaji talaka zihakikishe zinaweka makubaliano ya wazi ya uwajibikaji baina ya wazazi ili kupunguza wimbi la watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

“Talaka isiwe sababu ya kufanya watoto wakose malezi, nitoe wito kwa Mamlaka husika simamieni makubaliano ya uwajibikaji baina ya wazazi” Amesema Mhe. Ndile

Ametoa rai hiyo  Agosti  19 , 2021 katika hafla  iliyoandaliwa na  Shirika lisilo la Kiserikali la  Faidika Wote Pamoja (FAWOPA) ilipokabidhi  vifaa vya shule   kwa  wanafunzi  wa sekondari 67  na wanafunzi 11 wa chuo cha maendeleo ya jamii Mtawanya  ambao wanaoishi katika mazingira magumu.  

Amesema kuwa ukatili wa kutelekeza watoto umekuwa wa kawaida sana katika Jamii, talaka imekuwa njia ya wanandoa kukimbia majukumu yao na kupelekea watoto kukosa malezi na kuishi katika mazingira magumu.

Naye Mkurugenzi wa FAWOPA Baltazar Komba amesema kuwa kila mtoto ana haki ya kupata elimu na malezi bora ili kutimiza ndoto zake hivyo ni wajibu wa kila mzazi kuhakikisha mtoto wake anatimiza malengo yake aliyojiwekea.

Ili kufanikisha ndoto zao, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Bi. Juliana Manyama amewataka wanafunzi hao   kutumia   vizuri fursa waliopewa na FAWAPO kama daraja la kutimiza malengo yao.

Salum Khamis  mwanafunzi wa Sekondari ya  Sino ambae pia  mnufaika wa msaada huo amelishukuru amelishukuru shirika hilo kwa  misaada inayotoa  na kuwaomba wadau wengine kujitokeza ili  kuboresha ustawi wa elimu katika Manispaa Yetu.

Kwa kipindi cha miaka mitano shirika la FAWOPA limefanikiwa kuwasaidia wanafunzi 321 ambao wameunganishwa na taasisi za kielimu, na baadae  wakaweza kujiajiri.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.