• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Michezo Yetu, Fursa Kwetu

Posted on: May 30th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe.  Dunstan Kyobya amezindua ligi  ya  mpira wa miguu Ndile MEYA  CUP pamoja na viwanja vya  michezo  katika Taasisi ya utafiti wa mazao ya kilimo (TARI)   vilivyopo katika Kata ya Naliendele Mkoani Mtwara ,  huku akisisitiza    vijana    kutumia fursa hiyo   kuonesha vipaji vyao katika  kutafuta njia ya kuelekea kwenye timu kubwa.   

Hii ni fursa, tutumie fursa hii  kuleta maendeleo katika Kata yetu na Mkoa wetu  kwa ujumla, onesheni vipaji vyenu ili vionekane  ,  Michezo hii italeta fursa nyingi  hapa , watu watakula watakunywa , tutumie fursa hii kwa umakini ili mashindano haya yalete tija kwa kila mmoja wetu” Alisema Kyobya

Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika  tarehe 30/05/2021 katika viwanja vya TARI Naliendele,  Kyoba  aliwashukuru wadhamini  mbalimbali  walijitokeza  na kutoa rai   kwa wadau wengine kuendeleza uzalendo   wa   kudhamini michezo mbalimbali   ikiwa ni njia moja wapo ya kuibua wachezaji  wengi chipukizi.

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara -Mikindani  Bi. Shadida Ndile,  amewashukuru wadhamini na wadau walijitokeza na amewataka wananchi  wa Mtwara Mikindani kuwa wazalendo  na  kushiriki michuanao hiyo kwa  amani na kuepuka vurugu  na migongano isiyo ya lazima itakayopelekea uvunjifu wa amani wakati michuano hiyo ikiendelea.

"Sitegemei vurugu na migongano, nategemea mashindano ya amani, haya mashindano ni yetu, naomba tucheze kwa upendo na uzalendo, tukiharibu  tutawafukuza  wadhamini wenyewe,   tujitahidi kuyalinda” Alisema Ndile.

Aliongeza kuwa badala ya kukaa kijiweni na kujihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya , vijana watumie fursa hii    ili  kuingia katika soko la ajira  kwani ndoto yake kubwa ni   kuona vijana hao wanafika mbali  kimichezo na  kuunda timu ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, kuingia katika timu ya Mkoa   na hata kupata fursa  nje ya nchi.

Mashindano hayo yamezinduliwa   tarehe 30 , mei 2021 na  yatamalizika  tarehe 11, julai 2021 katika viwanja vya Nangwanda  Sijaona  vilivyopo  Manispaa ya Mtwara- Mikindani .

Ligi hiyo  itashirikisha  timu za mpira wa miguu 18 zilizoundwa kutoka katika Kata 18 zilizoundwa kutoka katika  Kata 18  zilizopo Manispaa ya Mtwara Mikindani.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.