Baada ya kuridhishwa na utekelzaji mzuri wa miradi saba ya Maendeleo iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru Arpril 24,20200 Kiongozi wa Mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa ndugu Sahili Nyanzabara Geraruma ameridhia kuweka mawe ya msingi, kuzindua ,kufungua Pamoja na kuona na kukagua miradi yote yenye gharama ya shilingi milioni mkia tisa arobaini na mbili, laki nne sitini na mbili elfu mia attu thelathini (942,462,330).
Hii ni faraja kubwa kwetu Manispaa ya Mtwara-Mikindanin kwani tumekuwa halamshauri ya tatu ndani ya Mkoa wa Mtwara kwa miradiyote kupitishwa bila kukattaliwa kati ya halamshauri tisa za Mkoa wa Mtwara.
Miradi iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru ni Pamoja na mradi wa ujenzi wa jingo la kusubiria wagonjwa, maabara na kichomea taka zahanati ya Ufukoni, Mradi wa kiwanda cha sabuni Shangani, Mradi wa ujenzi wa mfumo wa kunawa mikono, kuvuna maji ya mvua na uchimbaji wa kisima kirefu Sekondari ya Bandari.
Miradi mingine ni pa moja na mradi wa uje zi wa madarsa mawili Sekondari ya Mtwara Ufundi, Bustani ya mboga mboga na matunda Shanganmi, Ujenzi wa jingo la mionzi Kituo chja afya likombe pa oa ja na ujenzi wa sekondari ya mfano Likombe
Tunawashukuru wadau wote wa Maendeleo , wananchi ambao kwa namna moja ama nyingine tumekuwa tukifanya kazi Pamoja kwenye miradi yote na tuendelee kushirikiana ili kusukuma manispaa yetu izidi kusonga mbele
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.