• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Mnapopanga Mipango Angalieni JItihada za Jamii

Posted on: November 5th, 2017

“MNAPOPANGA MIPANGO ANGALIENI JITIHADA ZA JAMII” Beatrice Dominic

Mkurugenzi wa Manispaa Mtwara-Mikindani Beatrice Dominic  amewataka Maafisa watendaji wa Kata na Mitaa kuzingatia jitihada za Wananchi wakati wa kupanga Mipango ya bajeti katika sehemu zao za kazi.

Amesema kuwa bajeti ya Halmashauri itategemea na mipango iliyopangwa kuanzia chini hasa miradi iliyoibuliwa na Wananchi.

Akizungumza katika Mafunzo ya Uhamasishaji jitihada za jamiikwa wtendaji wa Kata na Mitaa  yaliyofanyika novemba 4,2017 kwenye ukumbi mdogo wa Chuo cha Ualimu Mtwara, Mkurugenzi wa manispaa alisema kuwa miradi yote ambayo jamii imefanya jitihada na kuchangia ipewe kipaumbele.

Ameongeza kuwa ana fahamu  kuna miradi mingi katani imeibuliwa na ujenzi wake haujakamilika hivyo ni vema miradi hiyo ikikamilishwa.

“Miradi iliyofikiwa nusunusu ikamilishwe kwani haina haja ya kuanzisha miradi mipya wakati kuna miradi viporo”

Aidha amewataka watendaji hao kuhamasisha Wananchi kujitolea kwenye shughui mbalimbali za kijamii na kwamba mchango wao uwekwe kwenye bajeti ukipigia mahesabu kwenye kiwango cha pesa.

Vilevile amewasisitiza kuwa mipango iliyopangwa muda mrefu na haijatekelezwa ni vema mipango hiyo ikarudishwa kwa jamii kuona kama wanataka kuendelea nayo au la kwa kuwa mahitaji yanabadilika

Nae Kaimu Afisa mtendaji wa Kata ya Naliendele Hamisi Adam amesema kuwa changamoto kubwa inayowakuta ni kwamba Wananchi wengi hawapendi kuhudhuria mikutano na hivyo kupelekea mipango hiyo kupangwa na  mtendaji pamoja na Mwenyekiti wa Mtaa na kupeleka kwenye kamati ya maendeleo ya Kata.

Amesema sababu  kubwa inayopelekea Wananchi hao kutohudhuria vikao vya kuandaa mipango ni kwamba miradi mingi inayopitishwa kwenye mitaa ikifika kwenye ngazi ya halmashauri inakatwa na haitekelezwi na hakuna mrejesho hivyo inawapelekea wananchi kukata tamaa.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.