Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imefaulisha kwa asilimia 98 katika matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa kumaliza kidato cha nne 2022 ambapo ufaulu huo umeongezeka kwa asilimia 4 kutoka ufaulu wa asilimia 94 kwenye matokeo ya Mtihani wa kitaifa wa kumaliza kidato cha nne mwaka 2021.
Kati ya wanafunzi 2035 waliofanya Mtihani huo mwaka na kupata matokeo ya Mtihanihuo, wanafunzin1997 wamefaulu kuanzia daraja la kwanza hadi daraja la nne na wanafunzi 36 wamepata daraja 0, mchanagnuo wa ufaulu kwa madaraja ni kama ufuatao
wanafunzi 235 wamepata daraja la kwanza, 436 darajaja la pili, na wanafunzi wapato 2000 wamefaulu kuanzia daraja la kwanza hadi daraja la nne na wanafunzi 36 wamefeli kwa mchanganuo ufuatao
Wanafunzi 235 wamepata daraja la kwanza, 436 daraja la pili , 450 daraja la tatu ,879 daraja la nne na waliopata daraja sifuri ni wanafunzi 36.
Aidha Jumla ya Shule 18 za Sekondari zimefanya Mtihani huo zikiwemo shule 12 za Serikali na Shule za binafsi 8
Mtihani wa
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.