MTWARA-MIKINDANI YAKATA KEKI KUSHEREHEKEA "BIRTHDAY" YA RAIS SAMIA
Katika kusherehekea kumbukizi ya kuzaliwa ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Leo Januari 27,2025 , Mkuu wa Mkoa wa Mtwara COL.Patrick Sawala akiwa sambamba na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe.Abdallah Mwaipaya na viongozi wengine wamekata keki na kuwalisha wanafunzi ikiwa sehemu ya kusherehekea siku hiyo.
Tukio hilo kimefanyika katika Viwanja vya Mashujaa likiambatana na Kongamano la Elimu Kwa Wanafunzi wa Kidato Cha nne
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.