Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imepata hati safi kwa mara ya saba mfululizo kuanzia mwaka wa fedha wa 2015/2016 hadi 2021/2022 baada ya kufanya vizuri kwenye usimamizi wa matumizi ya fedha.
Akiwasilisha taarifa ya utekelzaji wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali za mwaka wa fedha wa 2021/2022, Bwana Joseph Assenga Mkuu wa Kitengo cha fedha amesema kuwa katika mwaka huo Halmashauri ilikuwa na hoja 12 ambapo hoja zilizofungwa ni 9 na hoja 3 zilizobaki zipo kwenye hatua ya utekelezaji.
Hayo yamesemwa kwenye mkutao wa baraza maalumu la madiwani la kupitia na kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali uliofanyika Juni 24,2023 katika Ukumbi wa boma Mkoa
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.