Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imepokea kundi la kwanza katika jumla ya Watumishi wapya 37 wa kada za Afya waliopangiwa ajira katika manispaa hiyo kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
Akiongea wakati kikao kifupi cha mapokezi ya watumishi hao Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani, Mwalimu Hassan Nyange, aliwataka watumishi hao kuzingatia weledi ili kuleta mchango chanya kwa Manispaa hiyo na taifa kwa ujumla.
Akifafanua juu ya watumishi hao Katibu wa Afya Manispaa ya Mtwara-Mikindani Athumani Rajab alisema orodha ya Watumishi hao ni pamoja na:-
1. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II_ (10),
2. AFISA AFYA MAZINGIRA II_ (3)
3. DAKTARI DARAJA LA II_ (4)
4. FUNDI SANIFU VIFAA TIBA II_ (3)
5. MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA II_ (1)
6. MTEKNOLOJIA MAABARA II _ (5)
7. MTEKNOLOJIA WA RADIOLOJIA_ II - (2)
8. MUUGUZI II_(4)
9. TABIBU MSAIDIZI II_(5)
10.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.