Leo Januari 17,2022 tumetembelewa na ugeni kutoka Chuo Cha Ulinzi Tanzania (NDC) kwa lengo la kujifunza na kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na Manispaa yetu.
Hakika tumefurahi sana kupokea ugeni huo kwani tumepata muda wa kujadilina mambo mbalimbali yahusuyo maendeleo katika sekta zote ikiwemo ukusanyaji wa mapato ya ndani,utunzaji wa mazingira pamoja na mambo mengine mengi.
Tunawakaribisha tena Manispaa ya Mtwara-0Mikindani
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.