Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bi. Bahati Geuzye kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Leo tarehe 4 Oktoba 2024, ametembelea Mradiwa Zahanati ya Magomeni pamoja na Ujenzi wa Shule ya Sekondari Tandika.
Katika ziara hiyo RAS ameoneshwa kuridhishwa na kupongeza kasi na ubora wa miradi hiyo huku akihimiza hatua zilizobakia katika ujenzi zikamilike kwa wakati
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.