Mkuu wa Mkoa wa Mtwara COL. Patrick Sawala akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Abdallah Mwaipaya pamoja na wageni wengine wameshawasili kwenye Kongamano la Elimu kwa wanafunzi wa kidato cha nne Manispaa ya Mtwara-Mikindani Linalofanyika katika Viwanja Vya Mashujaa leo Januari 28,2025
Kongamano hili limelenga kuweka mikakati yankuhakikisha Manispaa ya Mtwara -Mikindani inaongeza Ufaulu na kuondoa ufaulu wa daraja sifuri
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.