Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Mhe. Shadida Ndile amewataka wakala wa barabara vijijini na mijini (TARURA) kuwashirikisha Madiwani wanapotaka kuchinga baranbaraba kwenye Kata ili kupusha kurudia kuchonga barabraba hioyo hiyo kila mwaka na kuacha barabra zingine zikiwa hazipitiki.
Mstahiki Meya ameyasema hayo Jnauri 4.2022 kwenye kikao cha Kmati ya ushauri wa Wilaya (DCC) kilichofanyika Jnauri 4, 2022 kwneye ukumbi wa chuo Cha Ualimu Kawaida uliopo Manispaaa ya Mtwara-Mikindanio.
Aidha Mstahiki Meya amesema kuwa wakati Serikali ikiendelea kutupatia fedha za ujenzi wa Miundombinu mbalimbali ya shule, zahanati na Vituo vya afya , amewaomba wataalamu kutobweteka badala yake wawashirikishe wananchi katika mapato ili waweze kulipa kodi zitakazosaidia kutekeleza miradi ya maendeleo.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.