Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini Mhe.Hassan Mtenga amewataka wananchi wa Mtwara kujitokeza kuhesabiwa ili kuleta ,Maendeleo.
"Jukumu hili ni la kwetu sote siis wana Mtwara lazima tuelewe, Maendeleo ya wanamtwara yataletwa na wanamtwara wenyewe, tuanze kuhesabiwa sensa ili tupate Maendeleo.
Aidha Mhe.Mtenga amewashukuru madereva bodaboda kwa kufanya matembezi ya amani ya kuhamasisha sensa leo Agosti 22,2022 na ana imani wananchi wote wa Jimbo la Mtwara Mjini watahesabiwa.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.