Naibu Meya wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Mhe.Saidi Ally Nassoro amesma kuwa Manispaa ya Mtwara-Mikindani imejipanga kuhakikisha kuwa inatokomeza daraja sifuri na kutokea kwenye kumi bora kwenye matokeo ya Mithani ya Taifa inayotarajia kufanyika mwaka huu.
Aidha Naibu meya amewapongeza walimu kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kufundisha na kuhakikisha wanafunzi wanasoma na kufaulu vizuri.
Amewapongeza pia wadau wa elimu kwa mchango mkubwa wanaoutoa katika sekta ya elimu na kuwaomba kuendelea kuishika mkono Manispaa ili izidi kusonga mbele
Mhe. Naibu Meya ameyasema hayo Machi 28 2022 kwenye maadhimisho ya wiki ya Juma la Elimu yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi M,ajengo
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.