Ikiwa leo Februari 24,2024 ni jumamoii ya mwisho wa mwezi ambapo Serikali ilitoa agizo la kuhakikisha kila mmoja anfanya usafi katika eneo lake, Mkurugeniz wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Mwalimu Hassan Nyange ameungana na Taasisi mbalimbali pamoja na wananchi kufanya usafi wa mazingira eneo la Soko Kuu, Stendi ya zamani pamoja na eneo la mahakama ya mwanzo .
Mwalimu Nyange ametoa wito kwa Taasisi na wananchi wote waliopo Mnaispaa ya Mtwara-Mikindani kuhakikisha wanafanya usafi katika maeneo yao kila mara ili kuuweka Mji wa Mtwara katika hali ya usafi
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.