Wakandarasi wanaitarajia kuomba zabuni za ujenzi wa Miradi 6 inayotarajia kuanza kujengwa kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Mji Tanzania (TACTIC) Leo Februari 26,2025 wametembelea maeneo ya miradi ili kujionea uhalisia.
Katika ziara hiyo jumla ya Kampuni nne za wakanadarasi wa ndani na nje zimetembelea maeneo husika kujua uhakisisa, changamoto za kiujenzi na upatikanaji warasilimali z aujenzi.
Ikumbukwe kuwa, mapema mweiz huu Manisaaa ya Mtwara-Mikindani ilitoa tangazo la kutafuta Mhandisi Mjnezi na Mhandisi Mshauri baada ya Serikli kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI kutangaza zabuni kw aajili ya ujenzi w amiradi hiyo.
Miradi iliyotembelewa ni pamoja na ujenzi wa stendi ya mabsi Chipuputa, Ujenzi wa mfereji wa Kiyangu, na ujenzi wa jengo la wajasiriamali Skoya.
Mingine ni ujenzi wa Barabara zinazounganisha soko la chuno , ujenzi wa barabara Samia City pamoja a ujenzi wa Jengo la Wahandisi Ghorofa moja
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.