Timu ya Wakuu wa Idara na Vitengo na Watendaji wa Kata Manispaa ya Mtwara-Mikindani Leo Oktoba 21,2024 wamepatiwa elimu ya Kinga na tahadhari ya majanga ya moto kutoka Kwa Kamanda wa Jeshi la zimamoto na Uokoaji Mkoani Mtwara ASF. Oissa H.Singili
Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Mwalimu Hassan Nyange amelishukuru Jeshi hilo kwa kutoa elimu na ameahidi kuwasilisha ramani za majengo yote yatakayojengwa ndani ya Manispaa ili Jeshi hilo liweze kutoa ushauri wa kujikinga na maianga ya moto katika hatua za awali
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.