HABARI PICHA
Wananchi wa kata mbalimbali za Manispaa ya Mtwara Mikindani wakipokea vifaa na chakula, vilivyotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Pamoja na wadau mbalimbali ikiwa ni msaada wa kuwafariji baada ya kupata maafa yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyonyesha kwa wingi mapema mwenzi Februari.
Zoezi hilo linaloendelea katika kata zote za Manspaa hiyo tarehe 14/03/2025 limeratibiwa na Afisa Tarafa ya Mikindani Bi. Mwanamtama Pole kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Abdallah Mwaipaya.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.