Kufuatia zoezi la Utoaji wa Kinga tiba ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele(Mabusha, matende na minyoo ya tumbo ) kwa wananchi wenye umri unaoanzia miaka mitano na kuendelea ,Manispaa ya Mtwara-Mikindani imefanikiwa kutoa kinga tiba kwa wananchi 132,128 kati ya hao wananchi 62,055 ni wanaume na 70,073 ni wanawake sawa na asilimia 90.
Zoezi la Utoaji wa Kinga tiba ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele lilinza Agosti 20,2024 na kumalizika Agosti 27, 2024
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.