Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Mtwara-Mikindani, Mwalimu Hassan Nyange ametoa rai kwa wananchi wa Mtwara kujitokeza kwa wingi katika miradi itakayopitiwa na Mwenge kesho tarehe 25 Mei, 2025.
Nyange ametoa rai hiyo leo 24/05/2025 baada ya kuhitimisha Jogging iliyowakutanisha mamia ya wanamtwara Kwa lengo la kutoa hamasa ya Mwenge wa Uhuru unaowasili kesho kutoka Halmashauri ya Wilaya Mtwara (Mtwara DC).
Kaulimbiu ya Mwenge mwaka huu: “Jikokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu.”
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.