Wananchi wa Kata ya Ufukoni wakijitolea kumwaga wakijitolea kumwaga zege jamvi ikiwa ni muendelezo wa ujenzi wa madarasa matatu ya Shule ya Sekondari ya Sino.
Madarasa hayo yanajengwa na Manispaa ya Mtwara-Mikindani kwa kutumia mapato ya ndani na hadi kukamilika kwake yanatarajia kutumia shilingi Milioni 60.
Aidha madarasa haya yakishakamilika itaondoa kabisa tatizo la upungufu wa miundombinu hiyo katika shule ya Sekondari ya sino na hizo kupelekea wanafunzi kusoma katika mazingira yaliyo bora yatakaongeza kiwango cha ufaulu shuleni hapo.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.