Msimamizi wa Uchaguzi Manispaa ya Mtwara-Mikindani Mwalimu Hassani B. Nyange amewaapisha Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi 250 wa Vituo vya Kupigia kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika hapa nchini Novemba 27,2024.
Hafla ya Uapisho imefanyika Leo Novemba 23,2024 katika Ukumbi mdogo wa mikutano wa Shule ya Sekondari ya Mtwara-Ufundi ambapo wahusika wamekula viapo viwili vikiwemo kiapo Cha Uaminifu na Utunzaji wa Siri pamoja na kiapo Cha Utii na Uadilifu.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.