Katika zoezi la Kmapeni ya Kitaifa ya utoaji wa Chanjo ya Polio awamu ya tatu kwa Watoto wenye umri chini ya miaka mitano, Manispaa ya Mtwara-Mikindani imefanikiwa kuchanja Watoto elfu ishirini na mbili mia tano arobaini na mbili (22542) kati ya Watoto elfu kumi na nane mia saba sabini (18770) waliolengwa sawa na asilimia 120.1
Kampeni hiyo ilianza Septemba 1,2022 na kumalizika Septemba 4,2022
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.