HABARI PICHA: Shamrashamra Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Watumishi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani, Kata ya Vigaeni, tarehe 06/03/2025 waliungana na Wanawake wa Kata hiyo, kutoa msaada wa mahitaji ya shule kwa wanafunzi wa kike katika shule ya Sekondari ya Rahaleo wanaoishi katika mazingira magumu, pamoja na wanafunzi wenye mahitaji maalum shule ya Msingi Rahaleo.
Msaada uliotolewa ni pamoja na Taulo za kike, Madaftari, Sabuni za unga, Sabuni za Mche, Sare za shule, Juice na Peni.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.