Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Mwanahamaisi Munkunda amewataka walezi na wazazi wa Tarafa ya Mikindani kuwahimiza watoto wao hususani watoto wa kike kuzingatia masomo ili waweze kujenga Taifa lenya kizazi bora.
Amesema kuwa Taraf ya Mikindani ni moja kati ya tarafa yenye watoto wengi wa kike walioacha shule kutokan ana sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba nanndoa z autotoni.
Aidha kupitia mfugo w amwezim mtukufu w aramadhani amewataka wananchi kumrudia Mwenyezi Mungu kw akuacha matendo maovu hususani ulawiti na ubakaji pamoja na kuacha kuhiadhi wahalifu katika jamii.
Hayo yamsema Leo Machi 17,2024 katika mkutano wa wananchi wa araf ya Mikindani wa kusikiliza na kutatua kero zao
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.