Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imepokea imepokea fedha shilingi milioni mia tano kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Mjimwema , ujenzi huo unahusisha jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD) , jengo la Maabara pamoja na kichomea taka .Ujenzi wa hospitali ya Wilaya umeanza 10/06/2023 na unatarajia kukamilika ifikapo 30/06/2023
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.