Uchimbaji wa Msingi wa madarasa tarehe 30/10/2021
upangaji w amawe kwa ajili ya maandalizi ya umwagaji wa zege jamvi tarehe 18/11/2021
Zoezi la umwagaji wa zege jamvi limekamilika tarehe 19/11/2021
Hatua ya upandishaji wa boma tarehe 22/11/2021
Hatua ya upandishaji wa boma tarehe 22/11/2021
Umaliziaji wa boma kwa kujenga kozi mbili za juu na gebo tarehe 25/11/2021
Ujenzi wa umaliziaji wa boma kwa kujenga kozi mbili za juu na gebo tarehe 25/11/2021
Ujenzi upo kwenye hatua ya upauaji na uwekaji wa madirisha tarehe 27/11/2021
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.