Posted on: January 10th, 2023
Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani COL. Emanuel Mwaigobeko amegawa vishkwambi 482 vilivyotumika kwenye zoezi la sensa ya watu na makazi kwa watumishi wa sekta ya elimu Msingi na Sekondari.
...
Posted on: January 9th, 2023
Mratibu wa Mwenge Manispaa ya Mtwara-mikindani Nicholous Semwene amesema kuwa miradi sita kutoka katika seta ya elimu, afya, barabara na maji yenye thamani ya shilingi bilioni mbili milioni mia ...
Posted on: January 4th, 2023
Serikali ya Tanzania imedhamiria kuongeza uzalishaji wa zao la korosho kutoka Tani laki nne hadi Tani laki saba kufikia mwaka wa fedha wa 2025/2026.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara COL...