Posted on: May 26th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdalah Mwaipaya amemkabidhi rasmi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, COL. Patrick Sawala kwaajili ya kuukabidhi Mkoani Lindi kuendelea na Itifaki inayofuata.
DC...
Posted on: May 25th, 2025
Jumla ya wakazi wapatao 1052 wa Mtaa wa Mwera wana uhakika wa kupata maji safi na salama baada ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu. Ismail Ali Ussi kuzindua mradi wa kisima cha ...
Posted on: May 25th, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Ismail Ali Ussi ameipongeza Manispaa ya Mtwara-Mikindani kwa kutumia fedha za mapato ya ndani Shilingi milioni thelathini na tatu laki ...