Posted on: May 7th, 2025
Wananchi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani wametakiwa kuzingatia Usafi wa mazingira katika maeneo yao ili kujiepusha na magonjwa ya mlipuko na kuleta muonekano mzuri wa Manispaa hiyo.
Hayo yamesemwa ...
Posted on: May 6th, 2025
Katika kuhakikisha kuwa Wananchi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani wanazingatia taratibu za ujenzi mjini, Manispaa ya Mtwara-Mikindani imenunua pikipiki mbili zenye thamani ya Shilingi milioni tano laki...
Posted on: May 2nd, 2025
Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Mwalimu Hassan Nyange amewataka Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na wasaidizi wao kuhakikisha wanaupokea na kuutumia vizuri mfumo mpya wa Ukaguzi na Ufuatili...