Posted on: December 3rd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Abdallah Mwaipaya amewataka Watu wenye Changamoto ya Ulemavu kutobweteka badala yake washiriki katika shughuli zitakazo wakwamua kiuchumi.
Ameyasema hayo Leo, 03 Novem...
Posted on: November 29th, 2024
Wenyeviti na Wajumbe wapya kamati za Mitaa, wametakiwa kuweka tofauti zao za kisiasa pembeni na kushiriki katika kuhamasisha na kuelimisha umma umuhimu wa kushiriki katika shughuli za maendeleo.
Ha...
Posted on: November 29th, 2024
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Mtwara-Mikindani imeshinda ushindi wa kishindo kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kupata Wenyeviti wa Serikali za Mitaa yote 111 sawa na asilimia 100 kati y...