Posted on: February 9th, 2025
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Mikindani Ndugu Gwakisa Mwasyeba akiambatana na Afisa Tarafa ya Mtwara Mjini Tito Cholobi na Mratibu wa Maafa Matwiko Leo Februari 9,2025 wamegawa Unga wa sembe Kg 1825...
Posted on: February 7th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Col.Patrick Sawala amewataka wananchi wa Mkoa huo kuendelea kuzingatia kanuni bora za Afya katika kipindi hiki cha msimu wa mvua za masika ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko h...
Posted on: February 4th, 2025
Serikali Wilayani Mtwara imekabidhi Shilingi laki tatu(300,000) ikiwa ni mkono wa pole kwa wanafunzi 35 wanaosoma Chuo Kikuu cha Stella Maris na Chuo Cha Utumishi wa Umma Mtwara ambao wameathiri...