Posted on: August 12th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe.Mwanahamisi Munkunda ameunda kamati ya watu kumi na moja inayowahusisha wafanyabiashara wa Stendi ya Mkanaredi na watumishi kutoka kwenye ofisi yake watakaofanya kaz...
Posted on: August 5th, 2024
Kutokana na baadhi ya wakandarasi kuchelewesha kazi kutokana na kupewa Kazi nyingi za ujenzi wa barabara hapa mjini, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani amewataka TARURA kuepusha kadhia hiyo...
Posted on: August 3rd, 2024
Baada ya Manispaa ya Mtwara Mikindani kuingiziwa fedha Shilingi Milioni Mia tano sitini (560,000,000) kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Kata ya Tandika, Agosti 3...